Saturday, 8 October 2016

VIDEO:Mwanafunzi aliyepigwa na Mwalimu Mbeya Day asimulia

October 6 2016 ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii video iliyokua ikionyesha Mwanafunzi wa Mbeya Day Secondary akipigwa kwa mateke na makofi na Walimu ambao walikua kwenye shule hiyo kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo……. mtazame kwenye hii video hapa chini

No comments:

Post a Comment